moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Unamchimba mkwara kuwa asipokulipa unamrudishia mtoto wake. Wiki moja haitapita utakuwa ushalipwa deni lako [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
π π π
ππππHata sioni bro.
Kwa kifupi jamaa/librarian siju yake ya kwanza ya kazi, akaanza kupanga vitabu kwenye shelfππ.Sasa issue ikawa kwamba licha ya kuwa ameshapanga ila msimamizi akawa anamsisitizia hebu panga vitabu jamaa kimya (bcoz kashapangaππππ), panga vitabu bwana "kimya" basi bwana jamaa kibarua kikaota nyasiπππππ
πππ
ππ[emoji23][emoji23][emoji23]
#kamakingnawakishua
#kiemojchakuchekawanawekahivi[emoji28][emoji28]