carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mbona myoyambendi katulia humu kuliko hii mibaba mingine[emoji23] [emoji23]Hali ni tete mkuu. Wewe nikuachie lindo? Hapana aisee. Itakuwa ni sawa na kumuachia fisi bucha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Arudi wapi? Alitangaza vita na shimba ya buyenze,muulize shimba mwenzie kamuacha wapi?Kichwa Kichafu puliiiiiziii naomba urudiiii
Haaminiki hata kidogo mkuu!Unaaminika?
Jews wana akili gani? Sayansi? Biashara? Unaijua siri yao kuu?Akili ya Jews ni yangu
Kaopoa demu mkali huko anasema huku harudi tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jukwaa gani hilo niende nikamtoe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wasukuma sisi ni shida kwa kweli!
Nice to hear that!Ucjali mi cna roho mbaya
Duh!Mkuu kila kichaa ana jalala lake.Pale kwa nsamaka nimefika jalalani kwangu,maneno yananitoka tu tena bila kuhaririwa na nsamaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]