Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hey. Mbona isiwe kutoka kwa Baby S? Muziki wa Uniq umekushinda?Leo napata like nyingi toka kwa Jakitooo!
Hey. Mbona isiwe kutoka kwa Baby S? Muziki wa Uniq umekushinda?Leo napata like nyingi toka kwa Jakitooo!
[emoji23] [emoji23] yule mzee wa gusa unateKaopoa demu mkali huko anasema huku harudi tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sijui Mtumishi. Unaweza kufafanua?[emoji125] [emoji125] [emoji125] mkono wa kulia ukifanya malipo,mkono wa kushoto usijue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua kwanini?
Vita vya madee na mke wa romaView attachment 536651
Si ajabu akarudi na ngeu kibao!Akifurushwa na delaya za huko atakuja na kutoa visingizio rundo.
Ukijua kutenda usikubali kutendwa...tenda kwa siri mwenzi wako asijue[emoji134] [emoji134] [emoji134]Sijui nambie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo leo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakwambia ni shida!Kweli ndio mana ulivyoitwa kaka uliumia,si kwa mahaba haya[emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona umefurahi balaa. Binadamu hatupendani aisee...
Subiri stori ndeeeeefu na isiyoeleweka!Alikuja kunitafuta humu akasema yamemkuta sasa sijui kafumaniwa[emoji23] [emoji23]
Kwa Baby S imekuwaje mkuu?Ngoja ni like tu nisije onekana kama kichwa
🙂Uchochezi huu ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu acha kumfundisha myoyambendi tabia mbaya katulia huyu ujue[emoji23] [emoji23]
Aisee. Pole zake!Anaumwa malaria
Yesuu!!! myoya huyu huyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] endelea kuokoa kaa la moto kwa ukucha wa kidoleUchochezi huu ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu acha kumfundisha myoyambendi tabia mbaya katulia huyu ujue[emoji23] [emoji23]
Good answer!toa likes pata likes
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hali ni tete mkuu. Wewe nikuachie lindo? Hapana aisee. Itakuwa ni sawa na kumuachia fisi bucha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]