Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fisi aliyevamia msibani na kujeruhi watu Wilayani Bunda ameuawa kwa mkuki lakini Katika hali ya kushangaza watu wasiojulikana wametoweka na kichwa chake.
_
Kundi la fisi lilivamia waombolezaji msibani katika Kijiji cha Kasahunga na kuwajeruhi watu wawili, baadae fisi mmoja kati yao alitaka kushambulia ng'ombe wa Josephat Mayango ambae alifanikiwa kumuua kwa mkuki na kwenda kutoa taarifa kwa uongozi wa Kijiji kuhusu tukio hilo lakini aliporudi alikuta kiwiliwili tu kichwa kikiwa kimeondolewa na wasiojulikana na kutokomea nacho.
#MillardAyoUPDATES
 
IMG_20191025_090805_426.jpg
 
Back
Top Bottom