Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Tuliza boli kamanda. Hizo ni sifa za Wakurya hizo na wote usiturundike humo. Bara ni kubwa ati!Ati hizo ndiyo sifa za wanaume wa mikoani ambazo hata wanawake hapa jf wanazisifia.
Pumbavuuuuu
Aaa wapi. Hakuna uhuru wo wote hapo...Si ajabu wenye nywila yao weshaondoka nayo tena [emoji16][emoji16][emoji16]Hongera kwa uhuru[emoji23][emoji23][emoji23]
Sidhani...Labda si kwa King huyu tunayemfahamu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Nimeachiliwa huru sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]