moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kwema bro [emoji120][emoji120]
Poa sana bro, kwema?
Poa sana bro, kwema?
Thats myBabeUsisahau "Bonnie and Clyde" Queen
Hahah huyu ndio Jirani sasa[emoji28]Aga tu jirani..zamani kulikua na tangazo la soda linasema "furahia utamu wake"..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
❤❤❤Happy furahi day fam
Tufurahi tu
Maisha yenyewe ndo haya haya
Maisha marefu ila tunakufa mapema
Tupendane
Tuheshimiane
Hakika“Moyo wenye shangwe hufanya uso uchangamke, lakini maumivu ya moyo huiponda roho.”
Hekima ni fikra inayotoka moyoni, busara ni hekima inayozungumzwa.
“Kuna furaha zaidi katika kutoa kuliko ilivyo katika kupokea.”
King na hekima zake[emoji122]“Anayejitenga na wengine anafuatia tamaa zake mwenyewe za kichoyo; hukataa hekima yote inayotumika.”
Tuliza boli kamanda. Hizo ni sifa za Wakurya hizo na wote usiturundike humo. Bara ni kubwa ati!
EehUkiendelea kupigwa, bila wewe kupiga, unaweza kuumia, familia yako inaweza kuumia pia! Kuepusha matatizo ya familia yako, wakati mwingine unahitaji kupigana.
Jamani 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1244188
Hahah,Sidhani...Labda si kwa King huyu tunayemfahamu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Atakaepiga mwaka huu anipigie na yangu.Miaka mi-4 iliyopita siku kama ya leo, mida kama hii ilikuwa ni pilika pilika za uchaguziView attachment 1244203
Tupo wengi eehTarehe kama ya leo 25/10 nilipiga kura kwa mara ya kwanza na ya mwisho.