Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama hauna jokofu, hifadhi matunda na mboga mboga mahali penye mzunguko wa hewa
Usitunze matunda na mboga mboga kabatini endapo huna jokofu. Kwa sababu hakuna mzungunko wa hewa ndani ya kabati na hii hupelekea kuharibika.
Badala yake tengeneza kabati la wazi ambalo linapitisha hewa ya kutosha na liweke jikoni mahali ambako hewa inazunguka vya kutosha.
 
Tukichokana tuachane kwa amani tu yanini kukatana masikio??
*********
_
Unaambiwa tukio jingine la kukatana masikio ni lile lililotokea Kijiji cha Majimoto baada ya Mwanamke mmoja kukatwa masikio yote na Mume wake kisha kuyapika na kumlazimisha kula baada ya kukataa kumpisha kitandani ili alale na mpenzi wake(mchepuko), inaarifiwa Mwanaume alikamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria.
#MillardAyoUPDATES
 
FB_IMG_1571999208623.jpeg
 
Wanaume wa mikoani kwenye ubora wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Tukichokana tuachane kwa amani tu yanini kukatana masikio??
*********
_
Unaambiwa tukio jingine la kukatana masikio ni lile lililotokea Kijiji cha Majimoto baada ya Mwanamke mmoja kukatwa masikio yote na Mume wake kisha kuyapika na kumlazimisha kula baada ya kukataa kumpisha kitandani ili alale na mpenzi wake(mchepuko), inaarifiwa Mwanaume alikamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria.
#MillardAyoUPDATES
 
Watu watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matano likiwamo la kukutwa na ndege watatu aina ya Tausi wa Ikulu ya Jijini Dar es Salaam wenye thamani ya Tsh.Milioni 3.4.
_
Watu hao ambao ni David Graha, Mohamed Hatibu na Mohamed Ally wamefikishwa Mahakamani hapo na kusomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu Mkazi Vick Mwaikambo.
_
Baada ya kusoma maelezo hayo, upande wa Serikali umeeleza kuwa upelelezi wa shauri hilo bado haujakamilika, hivyo wanaomba tarehe nyingine kwa ajili ya kutajwa.
_
Hakimu Mwaikambo amesema kwa kuwa mashtaka yanayowakabili washtakiwa hayana dhamana watakwenda rumande, kesi itatajwa tena Novemba 7, mwaka huu.
#MillardAyoMAHAKAMANI
 
Back
Top Bottom