Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Liverpool ilikubali kumwaachia beki huyo aondoka licha ya kudumu kwenye kikosi chake kwa miaka minane. Baada, Liverpool ilionekana kuwa na pengo kwenye safu ya mabeki hadi hapo ilipofanikiwa kumsajili Mdachi, Virgil van Dijk. Wakati anaondoka Anfield, Agger alitakiwa na Manchester City, lakini alikataa kwenda kujiunga na timu hiyo kwa ada ya Pauni 18 milioni na kwenda zake nyumbani kujiunga na timu yake ya zamani ya Brondby kwa ada ya Pauni 3 milioni.
 
Nick Barmby (Hull)

Licha ya kwamba alipitia kwenye nyakati ngumu kwa misimu miwili katika klabu ya Leeds United, uamuzi uliofanywa mwaka 2004 na staa Barmby ilikuwa kuachana na timu hiyo na kwenda kujiunga na Hull City iliyokuwa ikipanda daraja huko kwenye League One.
 
Giovanni van Bronckhorst (Feyenoord)

Katika miaka yake minne aliyokuwa Barcelona, Van Bronckhorst alihesabika kama mmoja kati ya mabeki wa kushoto bora kabisa duniani. Miezi 12 tu kabla ya staa huyo kwenda kujiunga na timu yake ya utotoni, alishinda taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya na kuwa mchezaji pekee wa Barcelona aliyetumika kwenye mechi zote 13 katika michuano hiyo msimu huo. Lakini, wala hakujali na kuamua kurudi zake kwenye timu yake ya utotoni huko Feyenoord tena kwa uhamisho huru.
 
Nikajua Bradha katoa ya Moyoni
Screenshot_20191025-180049.jpg
 
Juan Sebastian Veron (Estudiantes)

Veron hakuwa na kipindi kizuri alipokuwa kwenye Ligi Kuu England kwa nyakati zote alizocheza Manchester United na Chelsea, lakini kiungo huyo baadaye alikwenda kujiunga na timu yake ya utotoni ya Estudiantes mwaka 2006 licha ya kwamba alipelekewa ofa kutoka kwenye klabu za maana kama Boca na River Plate.
 
Muargentina huyo aliwahi kucheza kwa mkopo Inter Milan msimu mmoja kabla ya kurudi zake kwenye timu ya zamani. Veron alijiunga na timu hiyo ya utotoni mara mbili, hasa ikiwamo ya miaka ya karibuni 2017 si tu alipokuwa na umri wa miaka 41, lakini pia alitajwa kuwa mwenyekiti.
 
Staa huyo huduma yake ilikuwa muhimu kwelikweli kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2006, ambapo aliisaidia Barcelona kushinda 2-1 dhidi ya Arsenal.

Baada ya hapo alikwenda kucheza kwa mkopo Man United akitokea kwenye timu yake ya utotoni ya Helsingborg ya huko kwao Sweden.
 
Back
Top Bottom