The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,578
- 17,013
Na gori likishafungwa ni full kushangiliaAliyefunga
Hakuna wa kumfikia bebi wangu hata robo hapo!mkuu unataka walinzi kama hawa?
Namba ya hatari!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bado siamin macho yangu,myoya huyu huyuThubutuuuuu! Nshakushtukia muda mrefu sana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariKweli tupu! Ilihitajika nguvu ya ziada kumkokomoa kimawazo kutoka kwa bebi wangu. Ni hatari sana!
Hahaha kweliHarudii tena mana si kwa mshushuo ule wa kumwagiwa na siri zake
Nadhani pia umo kwenye rada zake. Nshaziona dalili. Kimya kimya tu ukija kushtuka yupo kifuani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].[emoji23] [emoji23] [emoji23] bado siamin macho yangu,myoya huyu huyu
Number safi sana hiyo ! It's for keepsNamba ya hatari!