D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
tatizo wengi wenu munakula ugali kwa kitoweo.
inavyotakiwa ule kitoweo kwa ugali.
sometime sababu kubwa inakuwa ugumu wa maisha.
sometime wengine munakula kwa sifa kumbe munajiua.
nasikia wasukuma wanakula ugali mtupu kwa chumvi ya madongee