D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
tatizo wengi wenu munakula ugali kwa kitoweo.
urojo hauwezi kua chakula ni appetizer tunakula wakati mtu unajiandaa kula chakula kamili au tutautumia urojo kama mbogatatizo wengi wenu munakula ugali kwa kitoweo.
inavyotakiwa ule kitoweo kwa ugali.
sometime sababu kubwa inakuwa ugumu wa maisha.
sometime wengine munakula kwa sifa kumbe munajiua.
nasikia wasukuma wanakula ugali mtupu kwa chumvi ya madongee
na itakuwa vizuri zaidiukiwa na ugali kama huu, urojo tunatumia kama mboga tu