Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Unaongelea nini Binti Mpole?Lets respect our ninge. I know its a joke
Unaongelea nini Binti Mpole?
Hata mimi nimeacha bro [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Kweli aise
Huku kwema, mvua zimepungua ila baridi bado bado. Hata wanavyoblock kwenyewe sijuiKwema Depal? Mvua na baridi bado vinaendelea kukutesa huko? Nilikuwa namuulizia bro hapo ili kuona maendeleo yake. Nimeshangaa kusikia kuwa eti umembloku [emoji16][emoji16][emoji16]
Ubarikiwe mpendwa.Njia rahisi ya kujua kama mwili wako una maji ya kutosha ni katika kuangalia mkojo. Mkojo wako unatakiwa kutokuwa na rangi(colorless) au kuwa wa njano kidoogo. Kinyume cha hapo ni ishara kwamba hauna maji ya kutosha mwilini. Njia nyingine kutambua ni pamoja na kukaukwa na midomo(lips) na hata ulimi na pia kupata kiasi kiduchu cha mkojo.
πππ Bae mwenyewe wa ngamaLets respect our ninge. I know its a joke
Mambo yako siriazi kihivyo? I thought it was a joke....U know