Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bro, vipi baridi na mvua huko Chuga? Ile ishu umepiga hatua yo yote au bado unahangaika nayo?14:00
Bro, vipi baridi na mvua huko Chuga? Ile ishu umepiga hatua yo yote au bado unahangaika nayo?
Usikate tamaa bro. Anakupima tu kama uko siriazi. Atalegeza kamba. Utaona [emoji16][emoji16][emoji16]Bado nahangaika nayo japokuwa kaniblock
Mnablockiana tenaBado nahangaika nayo japokuwa kaniblock
😁😁😁😁🖐Usikate tamaa bro. Anakupima tu kama uko siriazi. Atalegeza kamba. Utaona [emoji16][emoji16][emoji16]
😅😅😅[emoji39][emoji39][emoji39]hadi nimehisi kiu
#achakuntamanisha
#sijuiniombelocation[emoji124][emoji124]
Mnablockiana tena
Kwema Depal? Mvua na baridi bado vinaendelea kukutesa huko? Nilikuwa namuulizia bro hapo ili kuona maendeleo yake. Nimeshangaa kusikia kuwa eti umembloku [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji870]
Usikate tamaa bro. Anakupima tu kama uko siriazi. Atalegeza kamba. Utaona [emoji16][emoji16][emoji16]
Lets respect our ninge. I know its a jokeBado nahangaika nayo japokuwa kaniblock
Lets respect our ninge. I know its a joke