Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Cesc Fabregas: (Miaka 17 na siku 218)
Jina la Cesc Fabregas lilitangazwa vema Highbury wakati Arsenal walipoifanyia mauaji ya mabao 5-1 klabu ya Rosenborg ya Norway msimu wa 2004/05. Alifunga bao moja katika mechi hiyo na kwa kiasi kikubwa lilifungua maisha ya soka ya Fabregas. Hata hivyo, baadae mbele ya safari Arsenal walitolewa katika michuano na Bayern Munich kwa kichapo chembamba cha mabao 3-2 baada ya mechi mbili.