carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Fiti sanaFresh mambo
Fiti sanaFresh mambo
Jiyo kitu inaudhi sana basi tuWapenzi wengi wa movies hali kama yako ishawatokea sana tu mie mmoja wapo. Bora wewe ilikua inavuta ,mie nilipoweka tu net ikakata eti ikarudi asubuh aiseee nilitaman kuivunja laini ya halotel
Naona kina mwafulani watakuwa wanashangilia saizNimeona ila naombea aupige bei ili wambea tupovuke
Fiti sana
[/QUOTE
😀 haina kabaya
AiseeView attachment 1244931
oyoooooo usije ukadondosha jasho lako humo ndani ya pilau la watu wa baraaaaaaa
Salama salimini bro.Natumai sote tumeamka salama
Salama, kumekucha salama.Sijui huko.Hahah!!
Habari ya leo mtani
I see, pole sana.Kuna siku nilitaka kushusha movie(series)nikaunga usiku pack kama kawaida
Nikaweka episode zangu nikaenda kulala.
Bhana weee!!nimeshtuka sa10 alfajiri mzigo haujaisha,net mbovu.
Nikahisi labda mb zimeisha,nacheki salio nakuta gb7 zimebaki.
Hakuna siku nilikasirika kama ile.
Halotel bado nawadai bando langu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo tu ndo huwa wananifurahisha na bado wataendelea kuumia kuishi huko alipohamiaNaona kina mwafulani watakuwa wanashangilia saiz