Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchezo huo ndio unaotajwa kuwa mtamu zaidi kwa wikiendi hii, ambapo Liverpool baada ya kusimamishwa kwenye mwendo wao wa kushinda mfululizo, watakuwa na shughuli ya kuwakabili Spurs, ambao kwa sasa wanaonekana kurudi kwenye ubora wao baada ya kupata ushindi mnono kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya katikati ya wiki iliyopita.
 
hahahaha nacheka kma mazuri vile. Pole sana. Halafu muda mdogo nataman wangeweka kuanzia saa tano

Pia ukitaka kuifaidi halotel night usiwe na kifurushi kingine ndani yake. Yaan hakikisha mb za kawaida zinasoma 0 hapo net inakua na kasi nzuri
[emoji16][emoji16]asante.
Yaani nikikumbuka ile siku nasikia hasira tu.

Sema nilikuwa na mb za kawaida pia.
Ngoja nitafanyia kazi ushauri wako
 
[emoji16][emoji16]asante.
Yaani nikikumbuka ile siku nasikia hasira tu.

Sema nilikuwa na mb za kawaida pia.
Ngoja nitafanyia kazi ushauri wako
Wapenzi wengi wa movies hali kama yako ishawatokea sana tu mie mmoja wapo. Bora wewe ilikua inavuta ,mie nilipoweka tu net ikakata eti ikarudi asubuh aiseee nilitaman kuivunja laini ya halotel
 
Back
Top Bottom