Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimeacha utani huo. Kuwa na amani my young sis....Huku kwema, mvua zimepungua ila baridi bado bado. Hata wanavyoblock kwenyewe sijui
🤔Mambo yako siriazi kihivyo? I thought it was a joke....
Ngoja nijikite tu kivyangu vyangu sasa....
Misambwanda here I come....na anayekwazika can kiss my ass or refrain from liking my posts....
Nakusalimia mpendwaNimeacha utani huo. Kuwa na amani my young sis....
Jumamosi yako inaendeleaje?
Sijambo mpendwa Hawachi. Jumamosi yako inaendeleaje? BlessingsNakusalimia mpendwa
Jumamosi yangu Safi,uwe na mchana mwemaSijambo mpendwa Hawachi. Jumamosi yako inaendeleaje? Blessings
Na kwako pia mpendwa. Kumbuka kupumzika....Jumamosi yangu Safi,uwe na mchana mwema
Hata mimi nimeacha bro [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]