kama wewe kama wewe upendwe nini ? siwaumbo si wa nywele si wa ghuyuni,
mbele zero nyuma hakujulikani
baraka ya wanja, kujipakaza machoni
kwenye visura wewe huko hisabuni
Zunguka bongo waone kila mahala
figure zao za kupigiwa mfano
sio zumbukuku na shepu ya penseli
hivyo unadhani kwa yakini watakiwa kwa uzuri gani hasa wa kujizuzua
sibasi tu sibasi tu sibasi tu