Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ngumu hio maana wadau wengi walikitaka
ha ha ha inabid wakiondoe kitufe cha dislike sasa
ha ha ha inabid wakiondoe kitufe cha dislike sasa
nafasi za akina Burnley zile tumewashikia tuKabisa pabaya sana kule mpaka tunaitwa vibonde
Naombea wanazi wa liver na man city wasiione hii postnafasi za akina Burnley zile tumewashikia tu
Nani boya huyo kanipa dislike?Tangu jana naziona ila leo nimeiona kwa post ya bro don.
Mie mara ya kwanza kupata dislike roho ilipiga paaa niliboreka jaman
nitajitahid zipungueNgumu hio maana wadau wengi walikitaka
Post ya aina gani hiyo nimepata dislike ili niongeze zaidi post za aina hiyo?Tangu jana naziona ila leo nimeiona kwa post ya bro don.
Mie mara ya kwanza kupata dislike roho ilipiga paaa niliboreka jaman
Hahahaa kumbe hujaona basi bora usione tuNani boya huyo kanipa dislike?
Halafu sisi tunaotumia App hizo dislike wala hatuzioni [emoji16][emoji16][emoji16]
😂😂😂 siwezi kusahau mileleHehehehee king sahau ebooo
Wewe weka tu dislike. Kwani zinaongeza au kupunguza nini kamanda?nitajitahid zipungue
Sio ya msabwax hata mie sijaiona hahahaPost ya aina gani hiyo nimepata dislike ili niongeze zaidi post za aina hiyo?
Heheheee full mwiba😂😂😂 siwezi kusahau milele
Kwenye App hazionekani hizo dislike.Hahahaa kumbe hujaona basi bora usione tu
Ile VAR ilikua kiboko. Bonge la uzinitajitahid zipungue
Kukwambia ngumuKwenye App hazionekani hizo dislike.
Ni post ya aina gani? Msambwanda ama? Niambie basi nichochee moto? [emoji16][emoji16][emoji16]
Unataka kusema umeshahamasishwa bro??😂😂😂 hii mmeletewa nyinyi bhana..... Hahah
ha ha ha bado inahesabiwa tu kama reaction score, kwa hio ni sawa tu na like sema yenyewe imeanza na dis-Wewe weka tu dislike. Kwani zinaongeza au kupunguza nini kamanda?
Full kuchomwa chomwa. Daah maisha haya daah!Heheheee full mwiba
Heheh! Bro embu wacha kunifanyia ushushushuUnataka kusema umeshahamasishwa bro??