Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wakati huohuo, rais wa Real Madrid Florentino Perez ana mpango wa kufanya kila kitu katika uwezo wake ili kumnyakua Mbappe katika uwanja wa Bernabeau msimu ujao. (AS)
Nilikua nasubiri tu utie neno hapo nikamilishe kuunga dot ya mwisho. Aisee binti mpole Daah daah!Hehehehee ya kusimama kumbe dili
Baada ya miezi saba mfululizo ndio wanashinda mechi ya pili ugeniniKing vipi kuhusu man u?
Wapi kuna dislike 😂😂Jamani ee
PUNGUZENI DISLIKE KWENYE HUU UZI
KAMA PICHA HUJAIPENDA IPITE TU
DISLIKE INABOA JAMANI
Mmmh king imekuuma ee hahahaa nipo na liver leoBaada ya miezi saba mfululizo ndio wanashinda mechi ya pili ugenini
Tangu jana naziona ila leo nimeiona kwa post ya bro don.Wapi kuna dislike 😂😂
leo naona gari la Man U limechochea vizuriKing vipi kuhusu man u?
Sana hope tutaendelea vizurileo naona gari la Man U limechochea vizuri
ha ha ha sio post zote zinastahili 👍 nyingine inabidi tuweke dislike maana ni dhambi kupita post bila kuweka chochoteTangu jana naziona ila leo nimeiona kwa post ya bro don.
Mie mara ya kwanza kupata dislike roho ilipiga paaa niliboreka jaman
Hehehehee king sahau eboooNilikua nasubiri tu utie neno hapo nikamilishe kuunga dot ya mwisho. Aisee binti mpole Daah daah!
😀😀
so far sio mbaya sana huenda tutatoka kule mtaa wa 15Sana hope tutaendelea vizuri
Hahah bora umejileta. Usiwe dislike bana haipendez ipite tu kama hujaipenda.ha ha ha sio post zote zinastahili 👍 nyingine inabidi tuweke dislike maana ni dhambi kupita post bila kuweka chochote
Kabisa pabaya sana kule mpaka tunaitwa vibondeso far sio mbaya sana huenda tutatoka kule mtaa wa 15
ha ha ha inabid wakiondoe kitufe cha dislike sasaHahah bora umejileta. Usiwe dislike bana haipendez ipite tu kama hujaipenda.
Majukwaa mengine huwa naweka post za uchokozi ili kuvuna mapovu zaidi na kweli huwa nayaoga ya kutosha