Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Red wine
😂😂😂Oh oh oh
Kumbe upo mitaa ya mbali na hapo?Ningekuwa mitaa ya karibu ningekuja aiseh!
😂😂😂 Poa usikondeNaomba useme ni saa ngap na unitag tafadhali
Sitaki kupitwa mimi[emoji23]
Embe au parachichi?
Embe bichi 😋Embe au parachichi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeh!!
😂😂😂 hii mmeletewa nyinyi bhana..... Hahah
Ariana Grande- 7 rings
Niko mbali sana aisehKumbe upo mitaa ya mbali na hapo?
😂😂😂😂Masharti nafuu sana, wala usijali.
Unakuja pm, unaweka picha yako unapewa picha ya mfalme[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani ni kama kubadirishana mateka[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Sawa wasalimie Bunju 😀Niko mbali sana aiseh
Hehehh naona kajitupia kabisa Bradha hey changamkia mali mpya hiyo 😄![]()
JamiiForums naomba mnipokee
Za leo wakubwa kwa wadogo mimi lydia james leo nimejiunga na mtandao huu kwa lengo la kukuza ufahamu katika mambo mbalimbali naomba mnipokee kama mgeni wenu tushirikianewww.jamiiforums.com