Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimekua kama nilivyojiwekea malengo,hakuna cha kurogwa ukijiwekea malengo na kufanya kazi ili utimize malengo yako yatatimia tu,

Mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe.


Mzee baba kuna factors nyingi sn zinazitufelisha...mfno nilipofika form2 ticha wa chemia na dingi wakanichagulia mchepuo wa science nikaingia .baada ya 5mths nikamwambia mwalimu mm chemistry siiwez. Na siipend..wakanilazimisha kisa nilikua naweza au napenda hesabi na fizikia..pyee...!unajikuta ndoto zako zinazimika taratibu..mm nilipenda EGM...!
 
Takriban watu 350,000 wameandamana huko Barcelona wakipinga kuhukumiwa kwa Viongozi wa kujitenga huko Catalonia, Uhispania

Maandamano hayo ya amani pia yalilenga kusisitiza msaada wa harakati juu ya mpango wa watu wa Jimbo la Catalonia kutaka kujitenga na kuwa huru

Maandamano ya kujitenga yalibadilika kuwa vurugu usiku wa jana, Jumamosi wakati Waandamanaji walipovamia na kushambulia Makao Makuu ya Polisi

Viongozi tisa wa Mpango wa Kujitenga walihukumiwa mnamo Oktoba 14 na Mahakama Kuu ya Uhispania kwa kati ya miaka 9 na 13 baada ya kupatikana na hatia ya uasi
 
Daaa yani mkuu naona kama ni mm dunia hii ndo huwa sinaga dream za kazi, yani nishaga jiambia chochote me nafanya tu.
Wengi tunajiwekeaga malengo tukiwa wadogo hatujui uhalisia wa tunachokitaka (ugumu/changamoto)

ila tunapokua watu wazima tunajikuta tupo kwenye kitu kingine kabisa,na hapa ndipo

tunapoweza kujiwekea malengo na yakatimia maana tunakua tayari tunajua tunachokitaka.
 
77112866_2577163529039328_7370681701384651334_n.jpg
 
Back
Top Bottom