Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20191024-080037~2.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Noma sana bro ....

Nafurahi sana kukutana na wewe humu ndani ya jf na yule jamaa wa K.O.D yule naona tunaongea lugha moja

#Maishandiohayahaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nafurahi kusikia hivyo bro, inapendeza sana aisee, tumekuwa familia sasa pia watu wa uzi huu wapo vizuri sana wamejaa ukarimu wa hali juu, ukiwa hapa unafeel kama hauna matatizo yoyote aise,jambo la kumshukuru Mungu bro.

#Maishanihayahayabro
 
Back
Top Bottom