Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
👊👊👊👊[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nafurahi kusikia hivyo bro, inapendeza sana aisee, tumekuwa familia sasa pia watu wa uzi huu wapo vizuri sana wamejaa ukarimu wa hali juu, ukiwa hapa unafeel kama hauna matatizo yoyote aise,jambo la kumshukuru Mungu bro.
#Maishanihayahayabro