Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

siwalazimishi kula ila nawaonea huruma sana kwa kijikosesha raha.
ofisi ya makamo wa pili wa raisi wa zanzibar nje yake panauzwa urojo.


watu wa bara munajua kupika chapati, vitumbua, maandazi ya mafuta na uji wa mtama utadhani tupo msibani.
mukipika keki inakuwa ngumuuuu kama kileja.
mukipika vileja vinakuwa vigumuuu kama mawe
mukipika pilau ndio balaa, si ajabu kumkuta mwanamke wa bara anaweka tungule na bizari manjano ndani ya pilau utadhani anapika mchuzi wa maji.
Yaani wanawake wa Zanzibar wanachoweza hasaaa kupika urojo hakuna kingine.
 
Back
Top Bottom