D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
siwalazimishi kula ila nawaonea huruma sana kwa kijikosesha raha.😂😂😂 watu wa bara hatuli hivyo vidude viurojo.
Unasubiri taarifa ya habari saa 5? Unataka uanze kushinda baaa na wewe
ofisi ya makamo wa pili wa raisi wa zanzibar nje yake panauzwa urojo.
watu wa bara munajua kupika chapati, vitumbua, maandazi ya mafuta na uji wa mtama utadhani tupo msibani.
mukipika keki inakuwa ngumuuuu kama kileja.
mukipika vileja vinakuwa vigumuuu kama mawe
mukipika pilau ndio balaa, si ajabu kumkuta mwanamke wa bara anaweka tungule na bizari manjano ndani ya pilau utadhani anapika mchuzi wa maji.