D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
punguza kukesha baaa kama nguo za barmaid, nimesikia tetesi mahari yako uliomba ng'ombe 20 cha ajabu umeletewa punda 20a e i o Unooo
man utd tunacheza muda huu naomba uiangalie mechi ili upunguze stress za mahari