Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

sisi ni nani tukatae kama huyu legend kakubali
cc numbisa
 

Attachments

  • 893d9c2b9de7e87ad7c1e7f76519a22.jpg
    893d9c2b9de7e87ad7c1e7f76519a22.jpg
    46.2 KB · Views: 9
ila hii movieinanitia uchungu maana kacheza muigizaji nae mpenda..japo stori ni nzuri na matukio yamepangika vizuri ila imefeli kwenye mauzo hata hela ya bajeti haijafikisha...
View attachment 1243361
Hela ya bajeti itarudi. Mauzo ya nje hasa China kama imeruhusiwa. Willy Smith anapendwa sana huko...Bado kuna dvds na mengineyo.
 
Back
Top Bottom