Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani juve are playing so Well, si vichekesho hivyo
wanapata matokeo mazuri sehemu zote za ligi wanazoshiriki, jambo jengine kampuni ya jeep itakuwa wameangalia zaidi nguvu ya CR7 kwenye ulimwengu huu wa soka bado itaendelea kuwepo kwa miaka miwili au zaidi.

pia juventus wamejaza galacticos
 
73387360_176685580169552_7966819386140630625_n.jpeg
 
Back
Top Bottom