mukishajua wanaume wanaweza kupika ndio munazidi kujisifia kwa marafiki zenu.
MR X wangu ni mpishi wa hoteli basi akiwa nyumbani ni mwendo wa kupikiwa vyakula vya kisasa, ni mwendo wa kujinenepea kama paka wa kizungu.
tena hapo mashoga wakisikia hivyo ni full wivu, shoga akifika kwake na yeye anamtaka mpenzi wake ampikie vyakula vya kigeni.
balaa umwambie sijui kupika mhhhhhhhhhh! icho kichambo weeee
eboooooo mbona mumewe pandu ngozi anajua kupika vyakula vya kizungu kwani na yeye hana antenna kama ulionayo wewe?
niacheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee--------------------------- au kajifunze kupika kwa usalama wakooo
kama mwanaume mwenyewe ndio umeolewa basi utakoma na utalala mzungu wa 10.
sawa honey nitakwenda kujifunza mapishi ya kizungu, kichina, kijapani, kikorea, kipemba, kinyakyusa kwa ajili yako laazizi unayekwenda haja kubwa huku ukitoa dhahabu kama zile anazotuwekea moudgulf kwenye thread ya likes jamiiforums.
chezea kupenda ujinga