Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
kuna mechi fulani real madrid ya jose mourinho wanakutana na kichapo cha magoli 4 dhidi ya dortmund ya jurgen klopp, ikay gundogan maestro aliupiga mpira mwingi sana pale duarani.
swadakta brother, wakati daemusin analichukia sembe basi afahamu ya kwamba kuna wengine chakula aina ya sembe ni muhimu zaidi ya biryani la tausi.Respect each other
Show Love to each other View attachment 1243073
hiyo picha bwana rooney amepiga bila ya makeup usoni mwake?Happy birthday
Wayne Mark Rooney
- mbatata za kuchemsha = uwanga kama nipo sahihi
- chipsi za muhogo = uwanga kama nipo sahihi
- kachori = ndani yake muna mbatata, unga wa ngano, mafuta, chumvi, ndimu au limao.
- katlesi = mbatata, yai, mafuta, unga wa ngano.
- mayai = utajaza wewe
- maji ya urojo
- salad
- mishikaki = atajaza numbisa
- kitafunio (chapati, boflo, maandazi
- juisi
twende kwenye sembe
hata mwendawazimu anajua msosi bora ni upi kati ya hivyo viwili.
- maji ya kisima au ya mto
- mahindi machanga
- bamia
- pia nasikia wasukuma wakikosa bamia hutumia chumvi ya madonge kama kitoleo chao
- mkaa au kuni za kupikia
- vifuu vya kukolezea moto
- mafuta ya taa
- jiko la gesi
karibu zanzibar (nchi pekee aliyezaliwa msanii wa uingereza fred mercury)
View attachment 1242978
tatizo letu sisi ni moja tu,Ndiyo maana huko Zanzibar watu wanafikisha umri wa mpaka miaka 150.
Leo nimeijua sababu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nakumbuka ile Lewandowski akitakata pale juu na dimbani anatakata Gundogan, jamaa anaujua sema ndio kama usemavyo majeraha sanakuna mechi fulani real madrid ya jose mourinho wanakutana na kichapo cha magoli 4 dhidi ya dortmund ya jurgen klopp, ikay gundogan maestro aliupiga mpira mwingi sana pale duarani.
majeruhi yamempoteza huyo mturuki aliyejificha kwa mabeberu wa kijerumani
😀😀😀😀swadakta brother, wakati daemusin analichukia sembe basi afahamu ya kwamba kuna wengine chakula aina ya sembe ni muhimu zaidi ya biryani la tausi.
lazima tuheshimiane bwanaaa.
haya team sembe furahini basi kabla sijawageuzia kibao
Sorry bro nina swali hapa japo alihusiani na picha
Mzee wa Korea embu nisaidie hizo tofauti zake hapa kama hutojalitatizo letu sisi ni moja tu,
tunashindwa kutofautisha kati ya imani na dini.
swadakta, borussia walikuwa moto kama liverpoolNakumbuka ile Lewandowski akitakata pale juu na dimbani anatakata Gundogan, jamaa anaujua sema ndio kama usemavyo majeraha sana
teh tehMzee wa Korea embu nisaidie hizo tofauti zake hapa kama hutojali
Asante kwa kunitetea mpendwa Hawachi. Hata Mshana siyo mlozi ni mbwembwe tu na kutisha watu. Walozi huwa hawajitangazi [emoji16][emoji16][emoji16]Siamini kwa mpendwa Shimba wa buyenze yaani ni mlozi
🙌🙌🙌swadakta, borussia walikuwa moto kama liverpool
subotic + hummels+ bender + gundogan + reus + goetze + lewandowski + blasczycowsky a.k.a kuba
Namuunga mkono. Wanyiramba wengi weupe peee. Huu mkono mweusi tiii. Sio wake !!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Kakataa eti sio wake[emoji125][emoji125][emoji125]