D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
ndio madhara ya kukaa na washamba wanaojua kupika sembe tu.Dah siku nyingi mno imenitamanisha mpendwa.
keki wanapika kwa unga wa muhogo.
rudi nyumbani kumenogaaa
ndio madhara ya kukaa na washamba wanaojua kupika sembe tu.Dah siku nyingi mno imenitamanisha mpendwa.
Huu mkono huu bae fulan si aombe tuone kucha hahaha
Nivuke Kwenda wapi mpendwa?vuka bahari
Sana bro, chuma kimetulia,,Mnyama Mweusi hatari sana
Hivi sembe na urojo kipi bora kwa afya 😁😁ndio madhara ya kukaa na washamba wanaojua kupika sembe tu.
keki wanapika kwa unga wa muhogo.
rudi nyumbani kumenogaaa
Hadi nimetamani[emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23]Huu mkono huu bae fulan si aombe tuone kucha hahaha
unapotengenezwa si unapajua?Nivuke Kwenda wapi mpendwa?
Yaan huyu mkorea akishakula sembe sijui akinywa urojo anashida sana humuTeh teh teh, amekula sembe imempalia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tell a friend to tell a friend finally tumeupata mkono wa ninge. Very hendsamu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kakataa eti sio wake[emoji125][emoji125][emoji125]
Halafu bae kapotea kwenye uzi wetu jamaa pengine kamzuia asichat nasi kuwa na bae humu yataka moyo 😁😁😁😁Huu mkono huu bae fulan si aombe tuone kucha hahaha
unapotengenezwa si unapajua?
kuna mtanzania bara anayejua kupika ubuyu professional?
kazi kwako utajikuta unakula ubuyu umejaa chumvi kama samaki nguru.
karibu zenji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan huyu mkorea akishakula sembe sijui akinywa urojo anashida sana humu
Huwa ananifurahisha sana na post zake[emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hapana chezea nguvu ya ile kitu mtasomesha tu kwa lazima au hiyari.
[emoji23][emoji23][emoji23] you seeeee in nigerian voiceHalafu bae kapotea kwenye uzi wetu jamaa pengine kamzuia asichat nasi kuwa na bae humu yataka moyo 😁😁😁😁
Niagizie kwenye boti na Azam mpendwa 😁😁😁unapotengenezwa si unapajua?
kuna mtanzania bara anayejua kupika ubuyu professional?
kazi kwako utajikuta unakula ubuyu umejaa chumvi kama samaki nguru.
karibu zenji
Mnatapatapa kweli[emoji23][emoji23]
#mtatusomeshatu
kama mwanamke nimemsomesha mwenyewe acha aliwe na mamba kuliko kuja kunisaliti baadae
[emoji23][emoji23][emoji23]jamaniii[emoji23][emoji23][emoji23]unapotengenezwa si unapajua?
kuna mtanzania bara anayejua kupika ubuyu professional?
kazi kwako utajikuta unakula ubuyu umejaa chumvi kama samaki nguru.
karibu zenji