moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji1787][emoji1787]
nasubiria sembe lifike shilingi 3000 kwa kg ndio nitaanza kula.
nasubiria sembe lifike shilingi 3000 kwa kg ndio nitaanza kula.
Kamati ya udhibitishaji mikono imepitisha kuwa huo ni mkono wako na ile miguu ni yako.Hahaha aisee.. tayali umekuwa wa kwangu
Hahaha mpendwa naanza kuona ngozi yako halisi sasa aiseeHalafu bae kapotea kwenye uzi wetu jamaa pengine kamzuia asichat nasi kuwa na bae humu yataka moyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Dogo upo?
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani nyie ni wakorofiInashangaza kwa kweli bibie alikuwa mda mwingi anachat toka alivyo uanza ubae na chat kapunguza. Free Depal [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa yaani,mkono mkono
Nimekumbuka na ile selfie yake[emoji119][emoji119][emoji119]
#hataakikataahuumkononiwake
#akibishaabishekwapicha[emoji124][emoji124][emoji124]
Weka pichaaa ili tuamini kama hilo ni tango pori[emoji23][emoji23]Hahaha tango pori hilo shauri yako
Nivuke Kwenda wapi mpendwa?
karibu zenjiHadi nimetamani[emoji39][emoji39]
Hahaha nakuona unavyochochea kuniKabisa yaani,mkono mkono
Nimekumbuka na ile selfie yake[emoji119][emoji119][emoji119]
#hataakikataahuumkononiwake
#akibishaabishekwapicha[emoji124][emoji124][emoji124]
Nimemmiss mondray,toto chizi ileGentries anakusalimia
😁😁😁😁😁😁Free Depal kwa kweli haiwezekani kabisa 😀😀😀😀😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23]yaani nyie ni wakorofi
Movement ianze na #free unamalizia jina
[emoji23][emoji23][emoji23]
- mbatata za kuchemsha = uwanga kama nipo sahihi
- chipsi za muhogo = uwanga kama nipo sahihi
- kachori = ndani yake muna mbatata, unga wa ngano, mafuta, chumvi, ndimu au limao.
- katlesi = mbatata, yai, mafuta, unga wa ngano.
- mayai = utajaza wewe
- maji ya urojo
- salad
- mishikaki = atajaza numbisa
- kitafunio (chapati, boflo, maandazi
- juisi
twende kwenye sembe
hata mwendawazimu anajua msosi bora ni upi kati ya hivyo viwili.
- maji ya kisima au ya mto
- mahindi machanga
- bamia
- pia nasikia wasukuma wakikosa bamia hutumia chumvi ya madonge kama kitoleo chao
- mkaa au kuni za kupikia
- vifuu vya kukolezea moto
- mafuta ya taa
- jiko la gesi
karibu zanzibar (nchi pekee aliyezaliwa msanii wa uingereza fred mercury)
View attachment 1242978
[emoji23][emoji23][emoji23]endeleeni kujiliwaza na haya mabandiko yenu
sijui wewe ndio ulishindwa kukopi na davinci au mm ndio nilishindwa... btw nimemmis sana numbiiiiNimemmiss mondray,toto chizi ile
Those ole good days
😁😁😁😁😁😁Haki vile uzi umeniharibu mno 😄😄😄😄Hahaha mpendwa naanza kuona ngozi yako halisi sasa aisee
Ma bae wako busy kudekeza huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawa wakatalunya sijui wakoje na ninge kaiga tabia zao
#freedepal
#freeTh
Inashangaza kwa kweli bibie alikuwa mda mwingi anachat toka alivyo uanza ubae na chat kapunguza. Free Depal [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
For sure[emoji23][emoji23][emoji23]
#Freedepal
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kusema kwamba abiria wanachunga mizigo yao??
Jamanii eeeh rudisheni nywila hizooooo[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee..naona mpendwa amewajaza nanyi mkajaa[emoji23][emoji23][emoji23]hawa wakatalunya sijui wakoje na ninge kaiga tabia zao
#freedepal
#freeTh
Haukuwa hivi mpendwa [emoji2][emoji2][emoji2]..inabidi nikuombee sana[emoji2][emoji2][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Haki vile uzi umeniharibu mno [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]