carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hadi nimemkumbuka ho chi minh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#kamaKingAlivyoingiaMzimamzima
King alijaa mzima mzima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hadi nimemkumbuka ho chi minh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#kamaKingAlivyoingiaMzimamzima
anakesha bar kama chupa za pombe.kwani depal kimemkuta niini...?
Full tinted......Sana bro, chuma kimetulia,,
Mambo vp lakini?
Carba una nini leo[emoji23][emoji23]Weka pichaaa ili tuamini kama hilo ni tango pori[emoji23][emoji23]
Sipati picha mwanamke anakipara[emoji23][emoji23]karibu zenji
utakula pilau, biryani, ndizi mbivu za nazi, juisi ya tende n.k
ukiendelea kuishi huko bara utaendelea kula sembe mpaka utafanya kipara cha kichwa kama zidane
Ha haKamati ya udhibitishaji mikono imepitisha kuwa huo ni mkono wako na ile miguu ni yako.
Kama hutaki weka picha[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23]hiyo ndo kazi yanguHahaha nakuona unavyochochea kuni
ni mwendo wa kuvaa wigi mpaka anapokoga sehemu yenye kiooSipati picha mwanamke anakipara[emoji23][emoji23]
Sante sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Free Depal kwa kweli haiwezekani kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
pole yake asisahau kutuletea mwalikoanakesha bar kama chupa za pombe.
nasikia amepata mchumba mbahili huko kwao arusha anataka kumuoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]achia nywila mzee baba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee..naona mpendwa amewajaza nanyi mkajaa
Kapokonywa nywilakwani depal kimemkuta niini...?
[emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa sijui sembe ilikufanya nini kwakweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anakesha bar kama chupa za pombe.
nasikia amepata mchumba mbahili huko kwao arusha anataka kumuoa
Hahaah[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Carba una nini leo[emoji23][emoji23]
Hahah! Ugumu unampenda ila yeye haupendi kabisaWagumu, chini ya uenyekiti wa Yegomasika[emoji1787][emoji1787]
mbona anajifanya kushabikia chelsea?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Depal anakesha vibanda vya mpira kushangilia man u
Inabidi mpendwa nitakushukuru mno.Haukuwa hivi mpendwa [emoji2][emoji2][emoji2]..inabidi nikuombee sana[emoji2][emoji2]