Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ha ha

Miguu ipi tena?
Hii hapa
tapatalk_1571914147142.jpeg
 
Numbisa kuja hapa mara moja.
nilikwambia myoyambendi na moudgulf ni ndugu lakini ukaendelea kutokuniamini.
tayari muda huu washapeana codes ya kwenda kula cha mchana.

kabati limeanguka
hiyo account ya myoyambendi muda huu simu imeshikiliwa na ndugu yao wa mwisho asiyejua kuandika ndio maana hujaona post yake.
hahahahahahaaaaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee
 
Back
Top Bottom