Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji28][emoji28][emoji28]
FB_IMG_15716109156795019.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] you seeeee in nigerian voice

Yaan wakishua wote wamepotea mpaka wanaacha mshangao

Ndo maana sitaki kuwa na bae JF ebooo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kusema kwamba abiria wanachunga mizigo yao??

Jamanii eeeh rudisheni nywila hizooooo[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hivi sembe na urojo kipi bora kwa afya 😁😁
  1. mbatata za kuchemsha = uwanga kama nipo sahihi
  2. chipsi za muhogo = uwanga kama nipo sahihi
  3. kachori = ndani yake muna mbatata, unga wa ngano, mafuta, chumvi, ndimu au limao.
  4. katlesi = mbatata, yai, mafuta, unga wa ngano.
  5. mayai = utajaza wewe
  6. maji ya urojo
  7. salad
  8. mishikaki = atajaza numbisa
  9. kitafunio (chapati, boflo, maandazi
  10. juisi

twende kwenye sembe
  1. maji ya kisima au ya mto
  2. mahindi machanga
  3. bamia
  4. pia nasikia wasukuma wakikosa bamia hutumia chumvi ya madonge kama kitoleo chao
  5. mkaa au kuni za kupikia
  6. vifuu vya kukolezea moto
  7. mafuta ya taa
  8. jiko la gesi
hata mwendawazimu anajua msosi bora ni upi kati ya hivyo viwili.
karibu zanzibar (nchi pekee aliyezaliwa msanii wa uingereza fred mercury)
1571913125005.png
 
Back
Top Bottom