Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

72628519_523766155126639_138847272338069760_n.jpg
 
Aahahahahaha, [emoji23][emoji23][emoji23]kama ripoti yako ya mwaka inaanza hivi jiandae kutumbuliwa kwa uongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi hapa sina ndugu wala fyekero.
Na siamini kuhusu BAK na Fragaria maana kuna baadhi ya vitu nina hakika navyo kwao.
Ila umenifanya nifurahi sana leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kutuburudisha kiongozi
tokea lini mtuhumiwa akakiri kosa kwa haraka haraka?
musiwe na wasiwasi repoti rasmi ilioandaliwa na jasusi mboboezi kutoka TISS itawekwa hadharani kabla ya kumalizika kwa mwaka.

wengine tumo humu ndani kwa mission maalum.
 
Back
Top Bottom