carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hehehe!!Wanawake Mnachotufanyia siyo kitu kizuriView attachment 1242823
Hehehe!!Wanawake Mnachotufanyia siyo kitu kizuriView attachment 1242823
Wanawaza pombeWana nini
Hapa anaweza fafanua vizuri bro don SHIMBA YA BUYENZE nisaidiekumbe kuna sembe na dona?
nipe tofauti kati ya vyakula hivyo viwili.
Cool bro,, mambo vp kaka?Hey homie,
Nipo nao kasi sanaHuu urembo ushanipita kushoto siku hizi
Heheheee ni yale ya juisi ya parachichi. Jamaa tokotoko kapewa apoze injin kashindwaHebu nitafsirie hicho alichoandika sinia bachela kwanza
nasubiria majibu kutoka kwake.Hapa anaweza fafanua vizuri bro don SHIMBA YA BUYENZE nisaidie
Eti huo mkono hapo ni wako
Kumbe nilielewa baada ya kusoma mara ya3[emoji23][emoji23][emoji23]Heheheee ni yale ya juisi ya parachichi. Jamaa tokotoko kapewa apoze injin kashindwa