Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1571896511718.jpeg
 
Hahahaha, aseee nimecheka saaana, siamini hata moja hapo.
Ila uliwahi kunipa angalizo kuhusu post zako, sitoshangaa[emoji23][emoji23][emoji23]
kazi kwako mpendwa na wengi ndani ya JF, kuanzia leo naomba ufahamu:-
  • moudgulf na myoyambendi ni ndugu wa damu
  • BAK na fragaria nina wasiwasi ni mtu mmoja ndio maana wote wamepotea muda mmoja
  • shimba ya buyenze na mshana junior ni mtu mmoja mwenye nafsi mbili
  • davet na bradha ni mtu mmoja
 
Back
Top Bottom