Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Deep Condition – fanyia deep condition mara kwa mara hii itasaidia kurainisha nywele zako na kuipa nywele afya, wakati una fanyia deep condition ni vizuri ukaosha nywele na maji ya baridi na pia usikae kwenye moto, paka condition yako funga mfuko wa plastic na taulo juu kaa nalo kwa nusu saa osha.
 
2)paka mafuta ya nywele kila siku – hii ni muhimu mno kwa nywele zako uli kuzipa nywele unyevu na kurainisha ili kuzuia ukatikaji wa nywele ni muhimu uwe una paka mafuta mara kwa mara, na mafuta mazuri kwa ajili ya nywele ni mafuta ya kumiminika na si mafuta ya mgando. Eg olive oil ya maji au mafuta ya nazi ya maji.
 
Mara nyingi tu
kazi kwako mpendwa na wengi ndani ya JF, kuanzia leo naomba ufahamu:-
  • moudgulf na myoyambendi ni ndugu wa damu
  • BAK na fragaria nina wasiwasi ni mtu mmoja ndio maana wote wamepotea muda mmoja
  • shimba ya buyenze na mshana junior ni mtu mmoja mwenye nafsi mbili
  • davet na bradha ni mtu mmoja
 
Suka misuko ambayo haikati nywele – ipo mingi sana una weza ku google “protective hair styles” ukaipata lakini pia nywele za kurudi nyuma “twende kilioni” husaidia mno ndio maana utakuta wanafunzi wengi wana nywele ndefu zilizo na afya.
 
5)Punguza kukaa/kutumia vitu vya moto – kutumia pasi au dryer kukaushia au kunyooshea nywele mara kwa mara kuna athiri nywele, nywele hupoteza ubora wake kutokana na moto. Hii huathiri hata zile nywele zinazo ota. Kama una osha nywele mara kwa mara ni vyema ukaziacha zikauke zenyewe na upepo.
 
Hata sioni bro.

Kwa kifupi jamaa/librarian siju yake ya kwanza ya kazi, akaanza kupanga vitabu kwenye shelf😀😀.Sasa issue ikawa kwamba licha ya kuwa ameshapanga ila msimamizi akawa anamsisitizia hebu panga vitabu jamaa kimya (bcoz kashapanga😂😂😂😂), panga vitabu bwana "kimya" basi bwana jamaa kibarua kikaota nyasi😀😀😀😀😀

😂😂😂
ehehehee rasmi bradha haupo kundi la wapole wala wanyonge aiseeee
 
Back
Top Bottom