Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Huenda isiwe na kazi.Hahahaa kaa nayo tu. Sabufa kiboko ya majirani
Wewe endelea kupakua viporo vya jana, nyama zipo chini.
Huenda isiwe na kazi.Hahahaa kaa nayo tu. Sabufa kiboko ya majirani
Hehehee halafu juzi na jana niliwaombea mema.Huenda isiwe na kazi.
Wewe endelea kupakua viporo vya jana, nyama zipo chini.
Mtashinda game ya leo.Hehehee halafu juzi na jana niliwaombea mema.
Haya muda wa kulipa leo maombi yenu muhimu[emoji125]
#europa
[emoji23][emoji23][emoji23] haki sitaki ushahidi mimikazi kwako mpendwa na wengi ndani ya JF, kuanzia leo naomba ufahamu:-
- moudgulf na myoyambendi ni ndugu wa damu
- BAK na fragaria nina wasiwasi ni mtu mmoja ndio maana wote wamepotea muda mmoja
- shimba ya buyenze na mshana junior ni mtu mmoja mwenye nafsi mbili
- davet na bradha ni mtu mmoja
moudgulf na myoyambendi ni ndugu wa damu= sio kweli ila sisi ni wahenga 😂 😂 😂kazi kwako mpendwa na wengi ndani ya JF, kuanzia leo naomba ufahamu:-
- moudgulf na myoyambendi ni ndugu wa damu
- BAK na fragaria nina wasiwasi ni mtu mmoja ndio maana wote wamepotea muda mmoja
- shimba ya buyenze na mshana junior ni mtu mmoja mwenye nafsi mbili
- davet na bradha ni mtu mmoja
Hapo kwangu hujapatia.kazi kwako mpendwa na wengi ndani ya JF, kuanzia leo naomba ufahamu:-
- moudgulf na myoyambendi ni ndugu wa damu
- BAK na fragaria nina wasiwasi ni mtu mmoja ndio maana wote wamepotea muda mmoja
- shimba ya buyenze na mshana junior ni mtu mmoja mwenye nafsi mbili
- davet na bradha ni mtu mmoja
moudgulf na myoyambendi ni ndugu wa damu= sio kweli ila sisi ni wahenga 😂 😂 😂
tokea lini mtuhumiwa akakiri kosa kwa haraka haraka?Hapo kwangu hujapatia.
Kwema huko bro?
mvua imeshaanza kunyesha ila bahati nzuri nimeshagonga bakuli la urojo.Kwema huko bro?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣tokea lini mtuhumiwa akakiri kosa kwa haraka haraka?
musiwe na wasiwasi repoti rasmi ilioandaliwa na jasusi mboboezi kutoka TISS itawekwa hadharani kabla ya kumalizika kwa mwaka.
wengine tumo humu ndani kwa mission maalum.