Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na siamini kuhusu BAK na Fragaria maana kuna baadhi ya vitu nina hakika navyo kwao.
siku watakayorudi hawa watu wawili nitumie ujumbe wa code tafadhali.
wanawake wa baghani wana sentensi yao tata hupenda kuitumia.

nitachambwa mpaka nisahau nguo yangu ya ndani.

au wakija hao watu naomba uwaambie daemusin amekufa msokoni.
 
miaka ya zamani nyakati za uchaguzi huku zenji kuna njia moja ilikuwa inatumika kuwatambua wahamiaji kutoka bara.

unaambiwa utamke ugali, wali, raisi, hayupo
ukitamka ugari, laisi, wari au ayupo utakutana na kipigo kizuri sana kutoka kwa team ndevu.

 
1571912269411.png
 
Back
Top Bottom