Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Respect each other
Show Love to each other View attachment 1243073
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Respect each other
Show Love to each other View attachment 1243073
Niliiba nyama siku moja nikafumwa dah! Sitakaa nisahau. Utoto raha sana sometimes [emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi sijui. Kwangu ugali ni ugali tu uwe sembe au dona sijali...Hapa anaweza fafanua vizuri bro don SHIMBA YA BUYENZE nisaidie
Hahah! Ugumu unampenda ila yeye haupendi kabisa
Tunajifaragua tu hapa mpendwa. Ile kitu ina nguvu mno.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hapana chezea nguvu ya ile kitu mtasomesha tu kwa lazima au hiyari.
kuna mchina fulani siku ya kwanza kupata kifungua kinywa cha zanzibar mix ndio alipost kwenye kitovuti chake.
View attachment 1243000
mbona muhenga wewe unaniangusha kwa makusudi?Mkuu unaimarishaje afya yako kwa kupata luch ya mchuzi mtupu kama hiyo?
Ikawaje?Niliiba nyama siku moja nikafumwa dah! Sitakaa nisahau. Utoto raha sana sometimes [emoji16][emoji16][emoji16]
akachomwa moto vidoleni na mama wa kambo.Ikawaje?