moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nimeona bro unataka kuzitumia kama mradi wa kuifanya PM yako iwe bize [emoji23][emoji23]
Bro naomba hizo picha nna kazi nazo[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti kazi nazo
[emoji1787][emoji1787]Ngapi ngap uko
Ngapi ngap uko
Ngapi ngap uko
😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787]View attachment 1246766
Hehehehee ya kusimama kumbe dili
Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp anataka kumleta Anfield mshambuliaji wa Ufaransa na Paris St-Germain Kylian Mbappe, 20. (Express)
Kiungo wakati wa Arsenal Mesut Ozil, 31, yuko huru kuhamia MLS, huku tetesi zinazomhusisha nyota huyo wa kimataifa wa zamani wa Ujerumani na DC United zikiibuka. (Bleacher Report via MLS official website)