myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Abubakar al Baghdad.....
Hahahahahahah, bro kwema?
Juzi nikaoga halafu nikakosa pilau.I hope ni kwema pande hizo.
#AmeingiaHivyo
#SemaHarusiSaaNgapiNasikiaAmekubaliHataKwaDroo
Jamani ee
PUNGUZENI DISLIKE KWENYE HUU UZI
KAMA PICHA HUJAIPENDA IPITE TU
DISLIKE INABOA JAMANI
Hehehehee ya kusimama kumbe dili
Nilikua nasubiri tu utie neno hapo nikamilishe kuunga dot ya mwisho. Aisee binti mpole Daah daah!
[emoji3][emoji3]
Hehehehee king sahau ebooo
Kabisa pabaya sana kule mpaka tunaitwa vibonde
nafasi za akina Burnley zile tumewashikia tu
Naombea wanazi wa liver na man city wasiione hii post
Nani boya huyo kanipa dislike?
Halafu sisi tunaotumia App hizo dislike wala hatuzioni [emoji16][emoji16][emoji16]
Heheheee full mwiba
Full kuchomwa chomwa. Daah maisha haya daah!
Hii vita ngumu kwake bora ingehusiana na sembe angeshinda mapema tu
Heheh! Bro embu wacha kunifanyia ushushushu
Full mpapaso ngwararaa ngwararada. Daah wakubwa wanafaidi kucha hehehee
Sawasawa kabisa. Ni post gani uligonga dislike nikuongezee zingine?