myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mkio kwenye daladala poleni..
Hivi ndo uligoma kutuma picha eeh?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti kazi nazo
Hahah! NimeshatumaHivi ndo uligoma kutuma picha eeh?[emoji23][emoji23]
Habari yako KD
Ewaaaa
Heheh!!nimeona mzee babaHahah! Nimeshatuma
Habari njema Carb vipi za kwako?
Hahah! Tupo wawili tu hapa tukishakua wengi kama hakijahappen vileEwaaaa
Mkaka mzuri[emoji847][emoji847][emoji847]
BMEA ni ommy??
Daah! Huku fresh sana mpaka noma nahisi baadae zile Vol kali zitanihusu leo 😀Heheh!!nimeona mzee baba
Poa sana sijui pande za huko
[emoji847][emoji847][emoji111][emoji111]Hahah! Tupo wawili tu hapa tukishakua wengi kama hakijahappen vile
#Thanks
Naona tabasam kama loteDaah! Huku fresh sana mpaka noma nahisi baadae zile Vol kali zitanihusu leo [emoji3]