Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Karoti husaidia kuongeza kinga mwilini (immune booster). Kwasababu tabaia asilia ya karoti kuwa na antibacteia pamoja na antiseptic ambazo husaidia kuzuia kinga za mwili. Pia Karoti ina Vitamin C muhimu kwa kusisimua seli nyeupe za damu (white blood cells) ambazo ni sehemu muhimu katika kinga ya mwili.
 
nasubiri nione inaongeza nguvu za kiume nikanunue gunia
 
Fahamu faida zake katika kukinga mwili na magonjwa.
Pilipili hoho husadikika kuongeza virutubisho vya aina ya zeaxanthin na lutein, haya ni madini ambayo husaidia kupunguza uwezekano wa kutokea kwa tatizo la mtoto wa jicho, ugonjwa ambao hutokea pale ambao lenzi ya jicho inakuwa na uwingu
 
Wengi tunafahamu kuwa pilipili hoho ni kiungo cha mboga katika mapishi mbalimbali, lakini hatufahamu kama ni miongoni mwa mboga yenye vitamin nyingi, achilia mbali uwezo wa kuboresha mifumo ya mwili. Pilipili rangi ya njano ndio mboga pekee yenye zeaxanthin kwa wingi kuliko mboga yeyote ikifuatiwa na Mahindi inayoshika nafasi ya pili.
 
Mbali na kuwa kiungo kutumika katika mboga ua kachumbari na wakati mwingine hutumika kama saladi, Hoho kutumika kwa kutengeneza juice ambayo husaidia kutoa taka mwili. Hoho hupatikana katika muonekano wa rangi tofauti ambazo ni rangi nyekundu, kijani, urujuani na njano na zinatajwa kuwa mboga yenye vitamin zaidi ya 30.
 
Miongoni mwa faida zilizopo katika hoho ni kwamba hutibu kuwasho wa koo na vidonda vilivyopo kooni, hutibu watu wanaotoka damu puani na huimarisha kinga ya mwili kutokana na wingi wa vitamibi C iliyopo ndani ya kiubgo hicho ambacho hupigana dhidi ya magonjwa na kujenga kinga imara.
 
Back
Top Bottom