Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Acha tu nikubaliKama watu walivote sio ajabu sana maana hao wenye team zao wanagawana sana kura
nasubiri nione inaongeza nguvu za kiume nikanunue guniaKaroti husaidia kuongeza kinga mwilini (immune booster). Kwasababu tabaia asilia ya karoti kuwa na antibacteia pamoja na antiseptic ambazo husaidia kuzuia kinga za mwili. Pia Karoti ina Vitamin C muhimu kwa kusisimua seli nyeupe za damu (white blood cells) ambazo ni sehemu muhimu katika kinga ya mwili.