Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pilipili hoho rangi ya njano ikitumika vizuri katika mapishi ni mboga yenye faida nyingi kiafya achilia mbali ladha ya kipekee, ina uwezo mkubwa ya kuboresha mifumo mbalimbali mwilini na ndio mboga pekee yenye zeaxanthin kwa wingi kuliko mboga yeyote ikifuatiwa na Mahindi inayoshika nafasi ya pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…