The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] weewe Sema suuu,[emoji3][emoji3]
Mrembo wangu kweli ata wewe?
.Pita na apa
Mto wa Mbu nilipita huko wakati hiyo barabara ya kwenda Mbulu haijatengenezwa halafu ikawa imenyesha mvua. Aisee niliapa kutopita tena kamwe. Siku hizi nasikia umetandikwa mkeka ni kutelezeshea tu. Ila milimani kule yaani dah...Huku mtowambu kuna kibaridi furani.
N
Nikupe wa kwangu?Sina usingizi
Ni Tanga au huko Uzaramuni?
Mto wa Mbu nilipita huko wakati hiyo barabara ya kwenda Mbulu haijatengenezwa halafu ikawa imenyesha mvua. Aisee niliapa kutopita tena kamwe. Siku hizi nasikia umetandikwa mkeka ni kutelezeshea tu. Ila milimani kule yaani dah...
Afadhali aisee. Nitajaribu tena kupita huko japo hicho kilima kutoka hapo Mto wa Mbu kilinitisha sana...Hivi sasa ni mkeka tu kamanda